kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kinjekitile Ngwale aliwaaminisha watu wake kuwa risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli Kinjekitile aliwadamganya wenzake wakafa wengi sana. Risasi za adui hazikugeuka maji hata kidogo, walipogwa na kushindwa vita.
Ahmed Ally anajua kuwa watanzania wenzake ni maskini sana kuliko yeye, lakini aliwaaminisha kuwa kulipiwa viingilio na kutazama mechi bure ni haramu. Watu hao maskini sana waioweza kumudu Milo 3 kwa siku wakamuamini na kutumia vijisenti vyao vya kukopa kwenda kuujaza uwanja kwa kuaminishwa kuwa Al-ahly ni timu dhaifu kwa Simba.
Ahmed Ally (kinjekitile) anafahamu kuwa Al-ahly ni timu kubwa na ngumu lakini anawaaminisha kuwa watawafunga goli 3 kama wamesimama vile.
Ahmed Ally anafahamu kuwa timu ya Simba imesajili vibaya lakini anawaaminisha watu wake kuwa ni usajili Bomba sana.
Ahmed Ally anajua kuwa Simba Ina uwekezaji na uongozi mbovu lakini anawaamisha watu wote kuwa Simba hakuna tatizo na watu wanamwamini.
Huu ni weledi wa Ahmed Ally au ujinga wa wanasimba?