Ahmed Ally ni Nabii??Alisema utamu mpaka ufungwe mara tatu mara 2 uwezi ita utamu

Ahmed Ally ni Nabii??Alisema utamu mpaka ufungwe mara tatu mara 2 uwezi ita utamu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Dah huyu jamaa nmfananisha na Nabii Lema

Kila kinachongelewa nae kinatokea

Majuzi kabla ya mechi aliulizwa vipi mnaenda kutoa utamu 🇹🇳

Jibu zuri kabisa utamu mpaka ufungwe mara 2...mara 3 sio utamu

Na kweli wamegawa utamu

Na sasa n rasmi Simba wameamua kugawa utamu
 
Back
Top Bottom