Dah huyu jamaa nmfananisha na Nabii Lema
Kila kinachongelewa nae kinatokea
Majuzi kabla ya mechi aliulizwa vipi mnaenda kutoa utamu ๐น๐ณ
Jibu zuri kabisa utamu mpaka ufungwe mara 2...mara 3 sio utamu
Na kweli wamegawa utamu
Na sasa n rasmi Simba wameamua kugawa utamu