Ahmed Ally: Robo fainali wamefuzu washamba sembuse sisi

Ahmed Ally: Robo fainali wamefuzu washamba sembuse sisi

Msemaji wa Simba ananisikitisha!!
Huyu mbona ana nafuu, huko siku za nyuma Nakumbuka msemaji wa Yanga kipindi kile Jerry Muro alikuwa anakichafua hasa kwa maneno ya shombo.

Kwa uzoefu wangu nafikiri ukiona Ahmed Ally anaongea hivi ujue anamjibu mtu aliyemkera. Hawa wasemaji sikuhizi wanatabia ya kushindana kwa kupigana vijembe, majivuno na kupenda kusifia timu zao.

Yani wanatengeneza tension au jambo fulani la hovyo ili watu wawe bize kujadili alichokisema.
 
Maneno ya msemaji yataigharimu Timu Nzima, Kama ni kweli ameyatamka ayo maneno na kama kweli uanzishwaji wa Simba unatokana na watu walio tokea Yanga.
Nirahisi kuimaliza kazi kama Wenye Yanga watakusudia kufanya ubaya.
 
Msemaji!!! Team inaenda Robo Hapahapo Mara hilo hatuwez bila Nyinyi Mashabiki Ila Kua msemaji wa simba ni kazi Nyiee😂😂😂

Mnataka mkifungwa muwalazie Zigo Mashabiki?😂😂😂
 
Huyu mbona ana nafuu, huko siku za nyuma Nakumbuka msemaji wa Yanga kipindi kile Jerry Muro alikuwa anakichafua hasa kwa maneno ya shombo.

Kwa uzoefu wangu nafikiri ukiona Ahmed Ally anaongea hivi ujue anamjibu mtu aliyemkera. Hawa wasemaji sikuhizi wanatabia ya kushindana kwa kupigana vijembe, majivuno na kupenda kusifia timu zao.

Yani wanatengeneza tension au jambo fulani la hovyo ili watu wawe bize kujadili alichokisema.
Kwenye social media inaitwa Engagement, hapo inaangaliwa post husika imetembea kiasi gani..imepata likes,comments,shared,view ..
Mwisho wa mwezi unasikia klabu fulani imeongeza ktk mtandao fulani kupata...

Mie naona wanafanya kazi yao usemaji na uhamasishaji
 
Ahmed kasema ukweli , ndiyo Maana hawaishi mitandaoni kuinanga simba utafikiri wao ndiyo wa kwanza kufika robofainali ya CAF CL Tanzania hii.
 
Back
Top Bottom