Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Sasa za kiganga zitagonga mwamba maana mimi ni zaidi ya yule demu wako wa kisukuma nani vile??Ok lete hoja zako hapa hizo tuone!,Hakika ukileta hoja zako hapa nikashindwa kuzijibu nafuta App ya JF na sitotumia tena.
Nilifeli form 6 ila kumbuka form 4 nilipata divesheni 2 kwa combi ya PCB,Hivyo ukinishinda akili ya darasani nitatumia akili za kiganga kukuchachafya😂😂
PCB mi ndo nimesoma A level sasa...
Hoja unazisomaga hapahapa mbona..