Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Shida ya haya mamburula simba na Yanga, hata yanapocheza kimataifa yenyewe yamekariri kwamba mpinzani wao ni simba au yanga.

Inashangaza sana.
 
Endeleeni kulisemea na hilo, huwezi kusema sio sawa alafu wewe ukipewa unatulia na kufurahia


Bora ungetengeneza sababu nyinginezo
 
Yanga inastahili motivation zaidi ya hizi, siyo siri Yanga ndiyo timu inayolibeba Taifa kwa sasa ukiachana na Timu ya Simba inayotutia aibu kila siku.
Kwakipi ambacho Yanga imekifanya kizuri na simba haijawahi kukifanya?
Ushabiki mandazi huu.

Simba kaifanya Tz kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF wakati huo vyura mnakoroma tu huko kwenye mabwawa yenu ya jangwani .

Simba ni timu ya kwanza Tz kufika 1/4 fainali ya klabu bingwa Afrika mara 4 wakati huo utopolo mnajambajamba tu huko na hakina kapumbu

Simba ni timu ya kwanza Tz kufika fainali ya kombe la shirikisho mwaka1993 we ukiwa bado kwenye korodani na ovari za wazazi wako . Halafu unàsema Yanga kafanya makubwa kwenye soka la Tz.

Utapolo ni hamnazo kabisa , Haji Manara hakukisea
 
Simba haijawahi kufika shirikisho 1993,hakukuwa na kombe la shirikisho mwaka huo,hata hivyo kombe linalofananishwa na shirikisho mwaka huo lilichukuliwa na Al ahly kwa ushindi wa goli 3
 
Kwa hili nadhani yuko sahihi hizo pesa Bora zingepelekwa kwenye michezo ya vijana mashuleni

Wivu unamsumbua ila hii kauli yake imeshamponza. Tangu aende SSC ,weledi kwa huyu jamaa umepungua sana kama ilivyo kwa Ally kamwe.

Kuna namna serikali inatakiwa kuwapiga break hao wanaongea sana .

Simba ni timu isiyokuwa na matumaini yoyote wala malengo na kwasasa inaona choyo kwa hatua za Yanga. Mafanikio makubwa ni kibegi, what else ,

Na chuki zinazidi snaa maana wakati wao wanatumia muda mwingi kwenye majungu, Yanga ina speed up kwenye reforms na area of improvement, Very soon SSC itakuja kuwa kama SINGIDA big stars mbele ya Yanga.

It is the matter of choices and investment
 
Ki uhalisia hakupaswa kuongea hata kma mawazo yake ni mazuri ila pia Serikali ielekeze nguvu kwenye project za michezo ambako huko hali si nzuri hasa mashuleni huku kwa hivi vilabu mi naona ni kama wanataka sifa za kisiasa
 
Simba hawakuomba na wala kupewa kwa siri.Elewa hilo.Tena ilikuwa ni ahadi ya Rais.Sasa walizojilipa Yanga na NW zina baraka za nani?Huo ni wizi uliofichuka accidentally.
Siri gani nawakati enginer alifanya press conference akaongea wazi wazi kwamba wanaomba msaada kwa mashabiki wanaoenda south afrika
Acha uongo na upotoshaji

Jenga hoja bila kutumia uongo na upotoshaji
 
Timu inasema kufungua whatsApp channel ni mafanikio
Viongozi wao sio wabunifu hiki kitu kitawasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…