Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Haya Simba Iko top ten ila kombe hata moja hamna! Mbumbumbu fc Katika ubora wako!So CAF Ni vichaa.
Nb: Yanga Ni ya 16 na Ina miaka 25 bila kufunga makundi Cafcl wakati huo Mayele alijua na miaka 2,Fei alikuwa mimba. View attachment 2683319