Ahmed Ally: Simba ina wachezaji bora na wenye uwezo kuliko Yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Mechi ya Simba na Yanga huwa ni mechi ngumu huwa haijalishi timu zote zipo kwenye hali gani. Hata mashabiki wa Simba tukicheza dhidi ya mashabiki wa Yanga unaona kabisa amsha amsha jinsi ilivyo."

"Hata kama Yanga awe vibaya kiasi gani wanaweza wakasafiri na lori kwenda mpaka Mbeya sababu ya kupitia hali ngumu lakini bado wakicheza dhidi yetu mechi huwa ni ngumu."

"Licha ya kufungwa na Ihefu ambayo imeshazoea kuwafunga Yanga, bado mechi yetu dhidi yao huwa ni mechi ngumu. Na ukiangalia mfululizo wa mechi zao kwasasa unaona kabisa itakuwa mechi ngumu."

"Lakini tutawafunga sababu sisi Simba tuna wachezaji wenye ubora kuliko wachezaji wao. Yanga wana wachezaji wenye ubora lakini ukiwalinganisha na wachezaji wa Simba, sisi ndiyo tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko wote."

"Yanga wana wachezaji wenye ubora kuliko wa Azam, wa Azam wana ubora kuliko Mashujaa na sisi tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko hao wote, tuna wachezaji wenye ubora wa ngazi ya Afrika. Kama wachezaji wa Simba wakiamua mechi hii tunataka kushinda basi hakuna timu inaweza kutuzuia."
- Ameongea Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally kupitia EFM


 
Si kishabiki wala nini.

Simba ina wachezaji more technicalities wengi kuliko timu yoyote Tanzania.

Mfano simba wanaweza kuwa na wachezaji 8 kwa haraka haraka.

Yanga wachezaji wa 4 tu.
HUU UKWELI UTAWAUMIZA SANA ILA NDIO TABIA YA UKWELI, SIKU ZOTE UKWELI UNAUMA SANA

Ndio maana unakuta.
1.Kapombe analinganiswha na...
2. Shabalala analinganishwa na..
3. Inonga analinganishwa na........
4.chama analinganishwa na.......
5. Manula analinganishwa na......
6. Leo wapo kwa chemalone.........
7. Kesho kwa ngoma.....
 
Huwa nashangaa sana unapomsema Gentamycine kuwa ni kichaa wakati wewe ndie mwenye comment za kitahira humu ndani
 
Huwa nashangaa sana unapomsema Gentamycine kuwa ni kichaa wakati wewe ndie mwenye comment za kitahira humu ndani

Ungenikosoa na kunisahihisha pale nilipo kosea.

Nadhani ndivyo great thinkers wanavyofanya.

Kulalamika bila kutoa solution ya tatizo nazani unaongeza zaidi tatizo.

NAOMBA UNIONESHE HUO UTAHIRA NISAHIHISHE AMA UNISAHIHISHE.

asante.
🙏
 
Yaani bora gentamycine ana akili kidogo kuliko wewe.
 
Yaani bora gentamycine ana akili kidogo kuliko wewe.

Siyo kidogo mkuuuu

Mimi ni mjinga kabisa hapa jukwaani , ni zaidi ya mpumbavu na mahamuma.

Yani ni mpumbavu wa mwisho kabisa hapa JF

Wafilipi. 2:3-7

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
 
Sijui una utahila au upuuzi!, Yaani manula kiorofile chake chakuishia buza unamlinganisha na gorikipa wa kimataifa na anayewania tuzo ya gorikipa Bora wa CAF!, Hao kina kapombe na shabalala ni uchochoro. Huyo chama mchezaji wa mechi za mashujaa na coast!.
 
Mbumbumbu pro max,mcha mbuzi wa mchongo.
 
Kumb we jamaa ni bonge la kilaza aisee 😀
 
Ungenikosoa na kunisahihisha pale nilipo kosea.

Nadhani ndivyo great thinkers wanavyofanya.

Kulalamika bila kutoa solution ya tatizo nazani unaongeza zaidi tatizo.

NAOMBA UNIONESHE HUO UTAHIRA NISAHIHISHE AMA UNISAHIHISHE
 

Ni kweli mkuu mimi ni tahira No 1 hapa Jamii Forum.

Ila sikujua Manula ana profile ya kuishia Buza.

Na hao kapombe na shabalala ni uchocholo.

Unisamehe Ujinga wangu unanipeleka pabaya sana
 
Ila kwa Bahati mbaya nyie watu wenye akili nyingi mmeishia kuniadhibu mimi baada ya kuishinda hoja yangu

Nyote mmeishia kunitukana (personal) baada ya kupambana na hoja yangu.

Leteni hoja na si matusi.
Mimi huwa napenda kujenga hoja na si vihoja

Wenye akili wananifuata hadi pm kunipongeza ama kuuliza
ENDEKEZENIMAUPUMBAVU YENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…