CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kumb we jamaa ni bonge la kilaza aisee 😀
Ndio kaka mimi ni Bonge la kilaza hapa jamii Forum.
Ni kilazwa haswa mjinga wa wajinga .
Kiongozi mkuu wa wapumbavu
Ila napenda upumbavu wangu utoke...
Unatoka pale mtu anaponionyesha nilipo kosea
Anaonyesha kosa na suluhisho lake.
UKIMTUHUMI MTU NI KILAZA HALAFU UONYESHI UKILAZA WAKE UNAWAZA UKAKUTA OPP IS TRUE.