CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kumb we jamaa ni bonge la kilaza aisee 😀
Ukitaka vichekesho hivi unabonyeza ngapi.........Si kishabiki wala nini.
Simba ina wachezaji more technicalities wengi kuliko timu yoyote Tanzania.
Mfano simba wanaweza kuwa na wachezaji 8 kwa haraka haraka.
Yanga wachezaji wa 4 tu.
Ndio maana unakuta.
1.Kapombe analinganiswha na...
2. Shabalala analinganishwa na..
3. Inonga analinganishwa na........
4.chama analinganishwa na.......
5. Manula analinganishwa na......
6. Leo wapo kwa chemalone.........
7. Kesho kwa ngoma.....
Ukitaka vichekesho hivi unabonyeza ngapi.........
Mimi kwenu wachezaji nano wakubali wawili tu wengine wakawaida.
Hivi kipa aliyekuwa shortlisted nominee wa CAF unataka awe kama wa kwenu ambaye hajawahi kunusa kabisa katika hizo level na kuna uwezekano hasifike.
Andika kwa ufasaha kaka.
Au ndio maana Manara anasema wenye nazo ni wawili tu????????
Andika kwa ufasaha kaka.
Au ndio maana Manara anasema wenye nazo ni wawili tu????????
Andika kwa ufasaha kaka.
Au ndio maana Manara anasema wenye nazo ni wawili tu????????
Hata Rage alisema mashabiki wa Simba ni mambumbumbu na kwenye kwenye kamati yenu ya juzi yumo, kwa ajili ya kuwasimamia mambumbumbu.Andika kwa ufasaha kaka.
Au ndio maana Manara anasema wenye nazo ni wawili tu????????
We jitoe tu kwani utakuwa umezipunguzia server za JF mashudu yako kwani yanajaza server za JF.SASA ITABIDI NIJITOE TENA HAPA JF.
NILIDHANI KWENYE SIASA NA MAJUKWAA MENGINE NDIO YANA VILAZA KUMBE JF NZIMA IMEVAMIWA.
NILIBADADILI ID NA KUJA JUKWAA LA MICHEZO NAKO NAONA KUMEVAMIWA
MPIRA UNATUKUTANISHA PhD na Std 7
LAKINI HAPA NAONA WAPUMBAVU NA WAJINGA WAMEKUWA WENGI ZAIDI.
Msikute ni papai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani huyu kweli ni chiz. Yaani yeye ni YANGA tu. Hana mambo ya kuizungumzia mikia? Kweli huyu mbumbumbu
Hata Rage alisema mashabiki wa Simba ni mambumbumbu na kwenye kwenye kamati yenu ya juzi yumo, kwa ajili ya kuwasimamia mambumbumbu.
Msikute ni papai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😁nimeamini chizi haponi View attachment 2801476