Ahmed Ally: Ukisafiri kwenda Mkoani kufanya Kazi na ukirejea Kwako 'patupu' basi Familia yako itakudharau na kukuona ni Mzururaji

Ahmed Ally: Ukisafiri kwenda Mkoani kufanya Kazi na ukirejea Kwako 'patupu' basi Familia yako itakudharau na kukuona ni Mzururaji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ngoja na Mimi Mzururaji GENTAMYCINE nihame Mji sasa kutoka Kuzurula bila ya Mafanikio Mjini Mbarali Mkoani Mbeya juzi na sasa nikazurule zangu Kwingineko Mkoani Mwanza labda Safari hii Mwenyezi Mungu anaweza Kuniona na nikarejea na Kitu na Familia yangu tukuka ya Ilala Kariakoo ikanielewa.

Ahmed Ally bhana. Acha Uchokozi huu.
 
Nikiwa kama mkusanyaji wa ule mchango maalum wa kupta nauli ya kumsafirisha huyu ndugu yetu, nawakumbusha tu wadau wote kutoa mapema chochote mlichojaaliwa.

Binafsi nimeshachangia buku 2
 
Nikiwa kama mkusanyaji wa ule mchango maalum wa kupta nauli ya kumsafirisha huyu ndugu yetu, nawakumbusha tu wadau wote kutoa mapema chochote mlichojaaliwa.

Binafsi nimeshachangia buku 2
Gamondi anaondoka?!
 
Back
Top Bottom