Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Ahmedy Ally semaji la FIFA..Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa.
Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako, kilichobaki ni sisi mashabiki kutimiza wajibu wetu kwenye club yetu kubwa Africa mashariki na kati Simba Sports Club.
Mungu mbariki Ahmed Ally, Robertinho, Mgunda na Zuberi Katwila.
Mtapigwa kama ngoma.....Uwanja ni fully house, sasa kazi imebakia kwa wachezaji na bechi la ufundi kumalizia kazi hapo kesho.
Kesho mnakula hamsa.
Poleni in advance
= full house.Uwanja ni fully house, sasa kazi imebakia kwa wachezaji na bechi la ufundi kumalizia kazi hapo kesho.
Alikwenda shule KUSOMEA UJINGA.= full house.
Ondoa hiyo y.