Ahmed Ally umeshamaliza kila kitu, huna deni kwa mashabiki wa Simba

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa.

Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako, kilichobaki ni sisi mashabiki kutimiza wajibu wetu kwenye club yetu kubwa Africa mashariki na kati Simba Sports Club.

Mungu mbariki Ahmed Ally, Robertinho, Mgunda na Zuberi Katwila.
 
Ahmedy Ally semaji la FIFA..
 
Uwanja ni fully house, sasa kazi imebakia kwa wachezaji na bechi la ufundi kumalizia kazi hapo kesho.
 
Kesho mnakula hamsa.
Poleni in advance
images (2) (1) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom