CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.