Ahmed Ally unafeli sana

duuh!kweli unaumwa hata ulichoandika kumueleza msemaji umeishia kutaja majina tu ya wachezaji
 
Hujui soka SHABIKIA kiboleni mkuu,kanoute ni galasa???
 
Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.

Mkuu hiyo inaitwa kupumzika na kuinjoy sio kila siku wachezaji wananusa harufu ya dagaa kidimbwi maji chumvi.
 
Hoja kubwa hapa ni Ahmed Ally au Makapi?
 
Vyeo vya kupeana weledi utatoka wapi??
Umeshawahi kuhoji ni vipi c.e.o aliyepo aliingiaje pale Simba?
Vipi kuhusu mgunda? Vipi matola? Pale Simba kunanuka rushwa sana
Chuki yako dhidi ya Simba itakuuwa wewe!
 
Chuki yako dhidi ya Simba itakuuwa wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ndio chuki Yako kwangu itakuua..

Halafu ukiona Kuna hoja humu jukwaani ukashindwa kuichangia na badala yake unamfata mchangiaji kumshambulia jua we ni mtu duni tena ni maskini sana wa akili..
 
Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Wamekwenda kibiashara, mipira ikaguliwe.
 
Acha roho mbaya wachezaji wote uliowataja ndiyo tunao wategemea,usitukwaze na wewe siyo Simba mwenzetu utakuwa umetumwa kuharibu timu yetu bora.

Guvu moya 😀
 
Barbara alisaidia sana kuficha mapungufu ya Semaji letu, sasa Barbara kaondoka.
 
Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Unafahamu kuwa wanigeria na waghana hawaruhusiwi kuingia Dubai!
 
Vyeo vya kupeana weledi utatoka wapi??
Umeshawahi kuhoji ni vipi c.e.o aliyepo aliingiaje pale Simba?
Vipi kuhusu mgunda? Vipi matola? Pale Simba kunanuka rushwa sana
Mbumbumbu mikia bin makolo fc! Hakuna plan yoyote ya timu , Kila kitu ni mhemko! Utopolo tukiwapasua Simba ndo kabisa wanapoteana na kufukuzana! scouting ya mikia ni mbovu hadi waone mchezaji Yanga wamrubuni! Vyeo vya kupeana Mo na demu wake!!
Kina Chama wamefunika sana madudu ya uongozi usio na elimu wa Simba!
Yanga bingwa wa kihistoria, bingwa wa unbeaten games, wananchi mbele kwa mbele, kufa kufaana!
 
Umeshawahi kuongoza timu yoyote mkuu hata ngazi ya wilaya?
 
Wewe kwani ni Nani mpaka upewe hizo taarifa za wachezaji na hata ukipewa zinakusaidia nini?
Wewe subiri timu iingie uwanjani uone sola na update matokeo full stop.
Hayo mengine hayakuhusu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…