Ahmed Ally unatambulushaje wachezaji kwa kumuiga Manara ambaye havutii kwa utambulishaji wake?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.

Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa WWE?

Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?

Jifunzeni kwa wakubwa Manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho, zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio ilimbeba
 
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini. Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe? Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?
Sawa, ila ni vyema ukachambua viwango vya uchezaji badala ya kuchambua viwango vya utambulishaji
 
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
...
Ahmed Ally anamkubali manara kiaina na ni roll modo wake Sasa ulitaka afanyaje? Yaani kwenye haya mambo mwisho wa siku wewe ndo utakunywa sumu Kwa chuki uzikwe uwaache Manara na Ahmed Ally,Manara na Tff.
 
Tatizo la watanzania mnapenda kudanganywa na maneno ya kijinga wakati mpira sio maneno kama unavyo aminishwa ujinga na manara
 
Mimi watu nashindwa kuwaelewa, watu wanadai nama kapooza kwamba hana mbwembwe nikawaambia watu kila mtu yuko na njia yake, kurudi huku nakutana tena kwamba kamuiga manara, utambulisho hauna formula
 
Ila Mimi nimependa walivyowapa heshima mabondia wetu.
Mandonga utopolo,kaoneka Simba.
Hii itawapa morali ya kuongeza bidii na kujiona kuwa wanaheshimika.
Na kuthaminiwa Wanachofanya.
 
Acha wivu wa kike
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.

Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?

Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?

Jifunzeni kwa wakubwa manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho ,zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio im
Ilimbeba

nimechomekea bandugu
 
Attachments

  • Screenshot_20220808-221003.png
    Screenshot_20220808-221003.png
    31.6 KB · Views: 4
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.

Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?

Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?

Jifunzeni kwa wakubwa manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho ,zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio im
Ilimbeba

Hii sasa ni nongwa duh
Ww ungetambulishaje?
 
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.

Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?
...
Hebu record voice note vile ulitaka aseme
 
Back
Top Bottom