Sawa, ila ni vyema ukachambua viwango vya uchezaji badala ya kuchambua viwango vya utambulishajiHivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini. Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe? Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?
umeandika ukiwa na jazba,kunywa maji pumzika kisha edit uzi wako ukiwa umerelax ili ueleweke.Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini
Ahmed Ally anamkubali manara kiaina na ni roll modo wake Sasa ulitaka afanyaje? Yaani kwenye haya mambo mwisho wa siku wewe ndo utakunywa sumu Kwa chuki uzikwe uwaache Manara na Ahmed Ally,Manara na Tff.Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
...
Mmeamua kutumia tochi kutafuta kasoro. sawa, tumekusikiaHivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini...
Tufanye ww ndie msemaji wa Simba aya tuambie ungetambulishaje??Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe...
[emoji28][emoji23][emoji125][emoji125]Tufanye ww ndie msemaji wa Simba aya tuambie ungetambulishaje??
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?
Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?
Jifunzeni kwa wakubwa manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho ,zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio im
Ilimbeba
nimechomekea banduguHivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?
Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?
Jifunzeni kwa wakubwa manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho ,zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio im
Ilimbeba
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?
Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa?
Jifunzeni kwa wakubwa manara amepata umaarufu kwa kumsifu wema tu kwenye media na kuomesha kumtamani bila kificho ,zaidi ya hapo hana lolote Simba ndio im
Ilimbeba
Hebu record voice note vile ulitaka asemeHivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa wwe?
...