Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama unasajili mchezaji kwa kutazama ubora tu wa huko anapotoka utaendelea kufeli.....Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu wameshasajiliwa, na wengine wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili," ameandika Ahmed Ally kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.
Aidha, ameongeza kuwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuna taarifa mbalimbali kuhusu usajili wa Simba, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiihusisha Simba na kila mchezaji ili kuwapa thamani wachezaji wanaotaka kuwasajili.
"Kwa sasa tunamalizia kutoa barua kwa wale tunaoachana nao, kisha tuanze kuvurumisha Thank You na baada ya hapo tuanze kudondosha chuma kimoja baada ya kingine," amesema Ahmed Ally.
Kefa kayombo fcMeneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu wameshasajiliwa, na wengine wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili," ameandika Ahmed Ally kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.
Aidha, ameongeza kuwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuna taarifa mbalimbali kuhusu usajili wa Simba, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiihusisha Simba na kila mchezaji ili kuwapa thamani wachezaji wanaotaka kuwasajili.
"Kwa sasa tunamalizia kutoa barua kwa wale tunaoachana nao, kisha tuanze kuvurumisha Thank You na baada ya hapo tuanze kudondosha chuma kimoja baada ya kingine," amesema Ahmed Ally.
Nadhani kinachofuata kabla ya mwaka hauhaujaisha tutashuhudia umakini wa ICU kusajili kocha,,,,kwasababu siamini kama Kuna wachezaji wa ajabu watakaosajiliwa msimu huu na ikitokea kwenye ngao timu ikapoteza dhidi ya yanga...Fadlu atapewa ticket ya kwenda kwaoNi lini wamewahi sema usajiri huu ni tia maji tia maji mara zote Huwa wanasema na kujimwambafai kinoma mara waibe wachezaji Airport
Kampeni ya kutusahaulisha vipigo 5 mfululizo, na kuturai kukunua mijezi yenu na Simba day yenu. hatuji ng'o hatakama tumeshakata tiketi tangu mechi ya Barkane iliyokua ipigwe kwa Mkapa.Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu wameshasajiliwa, na wengine wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili," ameandika Ahmed Ally kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.
Aidha, ameongeza kuwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuna taarifa mbalimbali kuhusu usajili wa Simba, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiihusisha Simba na kila mchezaji ili kuwapa thamani wachezaji wanaotaka kuwasajili.
"Kwa sasa tunamalizia kutoa barua kwa wale tunaoachana nao, kisha tuanze kuvurumisha Thank You na baada ya hapo tuanze kudondosha chuma kimoja baada ya kingine," amesema Ahmed Ally.
Hahahahaha,huyu jamaa anaijua kazi yake ya kusema semaKama kawaida Maliyamungu kazini
Aibu ya nn sasa,km wanadanganywa wanapenda kudanganywa je?Hawa jamaa hawaoni aibu kudanganya watu