Nadhaani ukiacha Mo tajiri, mtu wa pili Simba wanamsikiliza ni huyu msemaji waoMsiliamini hili jinga hajawahi kuongea cha maana zaidi ya porojo za kuhadaa mashabiki
Hela mtatoa au ndio mtataka mkataba wa miezi 6, kisha baadae mumuache km onana,jobe,phiri,mavamboJean Claude Girimugisha awepo kwenye list pale wakuu
Tariq AzizKama kawaida Maliyamungu kazini
Mwongo huwa anamaanisha kinyume chake!Hahahahaha,huyu jamaa anaijua kazi yake ya kusema sema
Na bila yeye Simba ingekua mbovu zaidi
Jamaa ana manenoMeneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu wameshasajiliwa, na wengine wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili," ameandika Ahmed Ally kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.
Aidha, ameongeza kuwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuna taarifa mbalimbali kuhusu usajili wa Simba, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiihusisha Simba na kila mchezaji ili kuwapa thamani wachezaji wanaotaka kuwasajili.
"Kwa sasa tunamalizia kutoa barua kwa wale tunaoachana nao, kisha tuanze kuvurumisha Thank You na baada ya hapo tuanze kudondosha chuma kimoja baada ya kingine," amesema Ahmed Ally.
HahahahaMwongo huwa anamaanisha kinyume chake!
Ahmed anajua mashabiki wa simbwa ni mazezet*a watamsifu tu. 😂😂😂😂😂😂Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu wameshasajiliwa, na wengine wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili," ameandika Ahmed Ally kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.
Aidha, ameongeza kuwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuna taarifa mbalimbali kuhusu usajili wa Simba, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiihusisha Simba na kila mchezaji ili kuwapa thamani wachezaji wanaotaka kuwasajili.
"Kwa sasa tunamalizia kutoa barua kwa wale tunaoachana nao, kisha tuanze kuvurumisha Thank You na baada ya hapo tuanze kudondosha chuma kimoja baada ya kingine," amesema Ahmed Ally.
Siyo Tarek Aziz.. Alikuwa Mohamed El sahafTariq Aziz
Kasema kuna mali moja ikitambulishwa, maji yatahama kutoka bagamoyo hadi morogoro, hivyo morogoro haitakuwa tena mji kasoro bahariJamaa ana maneno