Ahmed Ally: Yaliyopita si ndwele tugange yajayo

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Timu ya Simba imesema yaliyopita sindwele sasa inaganga yajayo, dhidi ya mchezo wake na Namungo Novemba 09, 2023, utakaopigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, ambapo Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema timu kubwa huwa inajipanga baada ya kudondoka.

"Tumekubali tumefungwa dhidi ya mtani wetu, tuumie tunavyoumia lakini lazima tuamke na kusonga mbele, niwaambie wanasimba wawe watulivu, watuamini viongozi"

Your browser is not able to display this video.

 
Kama tugange yajayo mbona wanatimuwa kocha?
 
Ngoja kesho Namungo wawakande akili ziwakae sawa.
 
Hajatutangazia mgeni rasmi Mechi ya Kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…