Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Timu ya Simba imesema yaliyopita sindwele sasa inaganga yajayo, dhidi ya mchezo wake na Namungo Novemba 09, 2023, utakaopigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, ambapo Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema timu kubwa huwa inajipanga baada ya kudondoka.
"Tumekubali tumefungwa dhidi ya mtani wetu, tuumie tunavyoumia lakini lazima tuamke na kusonga mbele, niwaambie wanasimba wawe watulivu, watuamini viongozi"
"Tumekubali tumefungwa dhidi ya mtani wetu, tuumie tunavyoumia lakini lazima tuamke na kusonga mbele, niwaambie wanasimba wawe watulivu, watuamini viongozi"