Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Kwa muda mrefu sasa Yanga haina mchezaji mcheza rafu sehemu ya kiungo Aucho akizidiwa hapigi kiatu labda ashike jezi.Mkuu umeshauri vizuri sanaa ila tatizo umekua Bias hapo ndo umeharibu
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hiv kuna wachezaji wanaocheza rafu kama Aucho na Muddathir????au ni kujitoa akil???Arajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.
Marefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.
Mimi naomba refa Arajiga na wasaidizi wako muangalie kwa makini tabia za baadhi ya wachezaji hasa Yusufu Kagoma , Ngoma na (Mzamiru kwasasa ua hapati nafasi)
Wanatabia za kucheza rafu pindi wanapohisi kuzidiwa ki mchezo.
Siwasingizii naomba muangalie mechi tano za nyuma mtanielewa
Kuna Tabia ya Shomari kapombe Kibu na Mpanzu kujiangusha ili wapewe Penalty au Kucheza rafu alafu nayeye kujiangusha especially (Kapombe)ili kuzuga asi adhibiwe na wanefanikiwa sana katika eneo ilo.
Wachezaji hawa katika kuhadaa marefa wamefanikiwa na kuwasababishia marefa lawama nyingi baada ya mechi husika.
Ninacho shauri, Mpira haukosi migusano ila kama refa angalia dhamira ya mchezaji husika na usisite kutoa maamuzi.
Kabla ya mechi uwaite ma Captain na kuwaeleza au mchezaji husika kadri mchezo unavyo endelea.
Usiogope Lawama, kikubwa chezesha kwa haki , kama ukiona timu mmoja imesha tandikwa zaidi ya goli tano uwe na roho ya kibinadamu ili kupunguza maafa ya nje ya uwanja.
Kuna baadhi ya mashabiki awawezi kuhimili kipigo kikubwa .
Jitahidi sana kuwasikiliza wasaidizi wako mnaunda pair bora kabisa uwanjani.
Tunategemea uamuzi bora kabisa na wa Haki kutokea kwenu.
Kweli kabisa hii.Acha mbamba wee mzeee...
Acheni ulozi na kupita milango isiyohusika...
Na ushauri wako ungekua na maana sana kama ungewataja wachezaji rafu wenu Aucho,mudathir na boka.....
BOKA namchukia kweli kweli toka ile derby ya siku ile...ukitaka kujua angalia tena ile mechi...
Dah! Kuna mashabiki wa timu fulani sijui watamkataa na huyu mwamuzi!! Maana wenyewe wanawataka waamuzi wawili tu; Tatu Malogo na yule mwamuzi mtoa kadi nyekundu zisizo na matukio.Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
View attachment 3259565
Labda world Cup ya vichaaAna malengo makubwa, sitashangaa nikimuona world cup anachezesha.
Makolo hawataki kumsikia kwa kuwa jamaa hataki janja janja yao
Umeongea upuuzi na umeweka ushabiki wa kijinga, umeongelea kagoma na Ngoma ukaacha michezaji ya utopolo inayocheza kihuni na game ya mwisho dhidi ya simba michezaji yenu mingi tu ilicheza kihuniArajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.
Marefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.
Mimi naomba refa Arajiga na wasaidizi wako muangalie kwa makini tabia za baadhi ya wachezaji hasa Yusufu Kagoma , Ngoma na (Mzamiru kwasasa ua hapati nafasi)
Wanatabia za kucheza rafu pindi wanapohisi kuzidiwa ki mchezo.
Siwasingizii naomba muangalie mechi tano za nyuma mtanielewa
Kuna Tabia ya Shomari kapombe Kibu na Mpanzu kujiangusha ili wapewe Penalty au Kucheza rafu alafu nayeye kujiangusha especially (Kapombe)ili kuzuga asi adhibiwe na wanefanikiwa sana katika eneo ilo.
Wachezaji hawa katika kuhadaa marefa wamefanikiwa na kuwasababishia marefa lawama nyingi baada ya mechi husika.
Ninacho shauri, Mpira haukosi migusano ila kama refa angalia dhamira ya mchezaji husika na usisite kutoa maamuzi.
Kabla ya mechi uwaite ma Captain na kuwaeleza au mchezaji husika kadri mchezo unavyo endelea.
Usiogope Lawama, kikubwa chezesha kwa haki , kama ukiona timu mmoja imesha tandikwa zaidi ya goli tano uwe na roho ya kibinadamu ili kupunguza maafa ya nje ya uwanja.
Kuna baadhi ya mashabiki awawezi kuhimili kipigo kikubwa .
Jitahidi sana kuwasikiliza wasaidizi wako mnaunda pair bora kabisa uwanjani.
Tunategemea uamuzi bora kabisa na wa Haki kutokea kwenu.
Asimamie mchezo kwa haki na usawaSasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
View attachment 3259565
Failure davis hajawai fungwa goli 5Naziona Tena zile 5 safi wanetu wanaenda kuzipata
Umesahau na hawa wanatabia ya ku cheza rafu pindi wanapozidiwa maarifa uwanjani;Arajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.
Marefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.
Mimi naomba refa Arajiga na wasaidizi wako muangalie kwa makini tabia za baadhi ya wachezaji hasa Yusufu Kagoma , Ngoma na (Mzamiru kwasasa ua hapati nafasi)
Wanatabia za kucheza rafu pindi wanapohisi kuzidiwa ki mchezo.
Siwasingizii naomba muangalie mechi tano za nyuma mtanielewa
Kuna Tabia ya Shomari kapombe Kibu na Mpanzu kujiangusha ili wapewe Penalty au Kucheza rafu alafu nayeye kujiangusha especially (Kapombe)ili kuzuga asi adhibiwe na wanefanikiwa sana katika eneo ilo.
Wachezaji hawa katika kuhadaa marefa wamefanikiwa na kuwasababishia marefa lawama nyingi baada ya mechi husika.
Ninacho shauri, Mpira haukosi migusano ila kama refa angalia dhamira ya mchezaji husika na usisite kutoa maamuzi.
Kabla ya mechi uwaite ma Captain na kuwaeleza au mchezaji husika kadri mchezo unavyo endelea.
Usiogope Lawama, kikubwa chezesha kwa haki , kama ukiona timu mmoja imesha tandikwa zaidi ya goli tano uwe na roho ya kibinadamu ili kupunguza maafa ya nje ya uwanja.
Kuna baadhi ya mashabiki awawezi kuhimili kipigo kikubwa .
Jitahidi sana kuwasikiliza wasaidizi wako mnaunda pair bora kabisa uwanjani.
Tunategemea uamuzi bora kabisa na wa Haki kutokea kwenu.
Siku hiyo atapigwaFailure davis hajawai fungwa goli 5
bila aucho na mudhathir hovyo kabisa, utopolo lazama mfe 3 safari hiiArajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.