AHMED ARAJIGA kuchezesha Derby tarehe 8

Mkuu umeshauri vizuri sanaa ila tatizo umekua Bias hapo ndo umeharibu
Unajua Kwa muda mrefu sasa Yanga haina mchezaji mcheza rafu sehemu ya kiungo Aucho akizidiwa hapigi kiatu labda ashike jezi.
Aucho anacheza taff ila sio rafu kuna tofaut kubwa ya kucheza rafu kwa kukusudia na kucheza taff.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hiv kuna wachezaji wanaocheza rafu kama Aucho na Muddathir????au ni kujitoa akil???
 
Kweli kabisa hii.
Baka ni mchezaji rafu mkubwa afrika.na hata kuvuta jezi pia
 
Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.

Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.

View attachment 3259565
Dah! Kuna mashabiki wa timu fulani sijui watamkataa na huyu mwamuzi!! Maana wenyewe wanawataka waamuzi wawili tu; Tatu Malogo na yule mwamuzi mtoa kadi nyekundu zisizo na matukio.
 
Umeongea upuuzi na umeweka ushabiki wa kijinga, umeongelea kagoma na Ngoma ukaacha michezaji ya utopolo inayocheza kihuni na game ya mwisho dhidi ya simba michezaji yenu mingi tu ilicheza kihuni
 
Mohamed Mkono ndo alokataa goli mbili halali kabisa mechi ya ngao ya hisani wamemuweka tena
 
Arajiga ni refa wa CAF. Atakayefungwa asilalamikie refa. Rekodi za Arajiga kwenye michezo inayiohusisha Yanga na Simba kwa siku za hivi karibuni ni kama ifuatavyo:
 
Umesahau na hawa wanatabia ya ku cheza rafu pindi wanapozidiwa maarifa uwanjani;
Mudathir Yahya,
Pacome zouzou
Aucho
Max zengeli na baka
 
bila aucho na mudhathir hovyo kabisa, utopolo lazama mfe 3 safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…