Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

Na bado Derby atapangwa arajiga yaani refa mmoja anachezesha mech 7 za tim moja.....Kayoko walikuwa wanasema anawabeba Yanga baada ya Aibu ya Manyara wamemrudisha chaap kayoko Mbeya
 
🤣🤣🤣🤣 Alisema nihamie Yanga😉
Hamia timu ya wananchi mrembo.
Huko ulipo umbumbumbuni hapakufai naona kidogo Rage hakukulenga wewe, alimaanisha wengine
Hama haraka umbumbumbuni
 
Una hoja. Usikilizwe. Kama kuna mchezo mchafu unafanyika nyuma ya pazia, basi ni vizuri tukafahamishwa mapema.

Wapenda michezo tunatamani kuona waamuzi wakichezesha mpira wetu wa miguu kwa njia ya haki, na pia kwa kufuata sheria 17 za soka! Na siyo kuchezesha mechi kwa ujanja ujanja.
 
Unaujua vyema mpira mkuu
 
Neno "MWAMZI" Umelirudia zaidi ya mara 3... HIVI YANGA MNALEWA VISUNGURA ILI MPATE NINI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…