Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

Ubaya ubwela🤣🤣🤣
 
Arajiga ndiye kocha anayeongoza kufungiwa kuliko refa yeyote wa ligi kuu hadi sasa,katika miaka miwili 2022 hadi 2024 ameshafungiwa mara mbili kwa kuvurunda
 

Attachments

  • Screenshot_20250211-083851.png
    1.1 MB · Views: 1
Kayoko mechi kibao anachezesha ni vile ww hufuatilii
kayoko anachezesha mech ila kama Kapigwa pin,Yaani anatupwa sehemu asisikike mfano atacheza Game ya Dodoma Jiji atapowa kama likizo,wanamuibua tenah kwa Mashujaa labdah yaani sio consistent kama kina arajiga ,refa wa mech ya Namungo juz🤣🤣🤣alietoa penalty ya kipuuzi sijawai ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…