Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka

Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.

Simba wamekuwa walipewa waamzi wanaopendelea Simba hadharani na waamzi wabovu kabisa

Mfano mwamzi aliyechezesha Jana mechi ya Namungo vs Dodoma Jiji, ameamua michezo mitatu ya Simba na amefanya madudu ya kuipendelea Simba,

Jana amewapa Namungo penalty ya utata

Mwamzi aliyechezesha mechi ya Pamba Jiji na Azam ambaye aliharibu mchezo na Nina Imani atafungiwa
Amechezesha mechi 3 za Simba na huku Simba ikibebwa na kupendelewa wazi wazi

Tatu Malogo, Amina Kyando na waamuzi ambao ni Wanachama wa Simba ndo wamekuwa walipewa mechi za Simba na kuwabeba wazi

Tunaomba bodi ya ligi na kamati ya waamzi muwapangie Simba nao waamzi makini kama Arajiga, Kayoko na Heri Sasi
Ubaya ubwela🤣🤣🤣
 
Arajiga ndiye kocha anayeongoza kufungiwa kuliko refa yeyote wa ligi kuu hadi sasa,katika miaka miwili 2022 hadi 2024 ameshafungiwa mara mbili kwa kuvurunda
 

Attachments

  • Screenshot_20250211-083851.png
    Screenshot_20250211-083851.png
    1.1 MB · Views: 1
Kayoko mechi kibao anachezesha ni vile ww hufuatilii
kayoko anachezesha mech ila kama Kapigwa pin,Yaani anatupwa sehemu asisikike mfano atacheza Game ya Dodoma Jiji atapowa kama likizo,wanamuibua tenah kwa Mashujaa labdah yaani sio consistent kama kina arajiga ,refa wa mech ya Namungo juz🤣🤣🤣alietoa penalty ya kipuuzi sijawai ona
 
Back
Top Bottom