PostGE2025 Ahmed Kombo: CHADEMA hawana haki ya kulalamikia Uchaguzi, wapunguze muwasho watulie

PostGE2025 Ahmed Kombo: CHADEMA hawana haki ya kulalamikia Uchaguzi, wapunguze muwasho watulie

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu,

Nimekutana na video ya huyu wakuitwa mwanaharakati huru, Ahmed Kombo, akimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Kombo amesema kuwa Heche hana haki ya kulalamikia uchaguzi, akisisitiza kuwa mwanachama yeyote wa CHADEMA hana haki hiyo kwa sababu hawakutaka kushiriki uchaguzi, hawakuzuiwa, wala hawakuwekewa kifungu chochote cha kuwakataza kushiriki.

Ameongeza kuwa "Wakilalamikia suala la uchaguzi, kila Mtanzania atawaona wao ni wendawazimu kwa sababu hawakukatazwa kushiriki. Kinachoshangaza ni kwamba hawakushiriki uchaguzi, lakini wanapata wapi nguvu ya kuzungumza wanayozungumza? Wana ushahidi gani kwamba chama fulani kiliiba kura? Vyama 17 vilivyoshiriki uchaguzi hakuna hata kimoja kilicholalamika. Wao hawakushiriki uchaguzi—kiherehere cha nini? Wapunguze muwasho watulie, haiwahusu, wao walishajiondoa wajipange miaka ijayo."

 
Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameyasema haya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo, Januari 4, 2026, jijini Dar es Salaam.
Mpaka sasa kila anayekuja kukanusha ukimchungua unakuta ni muhusika wa kuteka, kufira na kuua na hata MO29 utakuta hachomoki

Mucus wanazotema kukanusha ni matokeo ya damu walizomwaga
 
Uropokaji wa mashekhe umenifanya nipuuzi ujumbe wowote wa waislamu, labda niwe namjua huyu zimo
 
Back
Top Bottom