TANZIA Ahmed Makongo afariki Dunia

TANZIA Ahmed Makongo afariki Dunia

nyampanaga

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,104
Reaction score
559
Alikuwa Mwandishi Mwandamizi Radio Free Africa na Star TV.

Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Oktoba baada ya kuugua kwa muda Mfupi nyumbani kwake Mjini Bunda- Mkoa wa Mara.

20211006_205542.jpg
 
Maisha magumu sana asee watu hatuna nuru kbs usoni mwetu.
RIP ndugu mwandishi
 
Daaa!!alikuwa mkongwe sana toka miaka ya 1999, namsikiliza RFA, R.I.P
 
Back
Top Bottom