Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Apunzike kwa amaniAlikuwa Mwandishi Mwandamizi Radio Free Africa na Star TV.
Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Oktoba baada ya kuugua kwa muda Mfupi nyumbani kwake Mjini Bunda- Mkoa wa Mara.
View attachment 1965953