DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgeni rasmi katika hitimisho la Tamasha na Kongamano la Waislamu Ahmed Misanga, akizungumza na washiriki 1,800 wa tamasha hilo kutoka mikoa ya Tanzania Bara, pamoja na mambo mengine Misanga ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akagusia kuelekea Uchaguzi Mkuu Octoba 2025.
Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Islamic Propation Center (IPC) Singida, ambapo lilianza Juni 13.2025 na kumalizika Juni 20.2025 katika Kata ya Ihanji Kijiji cha chungu, Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida.
Lengo la tamasha na kongomano ilikuwa ni kutoa elimu, kushiriki ujenzi wa Shule kiislamu katika eneo la mradi Chungu na kuandaa miradi ya kiuchumi kama vile, mabwawa ya Samaki,Shamba la Mikorosho, Ujenzi wa Mabanda ya kuku, Mbuzi, Kondoo.
Chanzo:KitengeTv