Yaani Sasa hivi polisi waupige utepe huo msikiti na askari polisi wauzingire.Msikiti ufungiwe wamechanganya dini na siasa
Na akamatwe kuongelea siasa msikitini.Msikiti ufungiwe wamechanganya dini na siasa
wapi umeona msikiti hapo???Msikiti ufungiwe wamechanganya dini na siasa
Kwa kuwa yule wa juu ni kobazi hawatafanywa kitu, maana kobazi kwa kobazi wanalindanaNa akamatwe kuongelea siasa msikitini.
Alipaswa akaongee kwenye jukwaa la siasa kama Pinda.
Gwajima alifanya Press Kanisani?wapi umeona msikiti hapo???
ndio nani huyo?Kwa kuwa yule wa juu ni kobazi hawatafanywa kitu, maana kobazi kwa kobazi wanalindana
Mamandio nani huyo?