TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

Fm academia msanii amekufa ghafla
 
R.I.E.P
 
Hapo Kwahani sio mara ya kwanza mbunge kufariki akiwa kwenye ubunge. Hilo Jimbo litakuwa na shida I suspect.
 





Hon. Ahmed Yahya Abdul-Wakil​


Mbunge wa kuchaguliwa
Member Type : Constituent Member

JIimbo /Constituent : Kwahani

Chama / Political Party : CCM


Date of Birth : 1958-05-19


Education History :​


School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Ben-BellaCertificate19721973-
Haile Selassie SchoolCertificate19681971-
Gulioni Primary SchoolPSCE19651968Primary School

Employment History :​


Company/InstitutionPositionFromTo
Ministry of Construction and HousingAccountant19731984

Political Experience :​


Political PartyPositionFromTo
Chama cha MapinduziMember-General Meeting20122012
Afro ShirazMfuasi Young Pioneer19681977
Chama cha MapinduziMember of the Zanzibar House of Representatives20172020
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20202025
Chama cha MapinduziPolitical Committee20122012
Infrastructure Development CommitteeMember20212023

Source : parliament.go.tz /administrations / 711
 
Apumzike kwa amani, Alipata wasaa wa kutubu?
 
Historia ya jimbo la Kwahani Zanzibar 2020

Ameeleza kuwa Jimbo la Kwahani ni Jimbo lakupigiwa mfano kwani ni Jimbo lilitoa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama cha Mapinduzi.



Nae Mgombea Ubunge Jimbo hilo Ahmed Yahya Abdul-wakil amewataka wanachama wa Jimbo la Kwahani kumpigia kura na kumpa ushindi wa kishindo kwani kufanya hivyo nikukipa nguvu chama hicho ili kiendelee kushika dola .

Ameahidi kuvaa viatu vya Dk. Mwinyi ili kuleta maendeleo katika Jimbo hilo, kuimarisha vikundi vya Wajasiriamali kwa kuwapatia mitaji, kuwatafutia kituo cha kisasa kuweza kuuza bidhaa zao,kuwaendeleza wasanii na michezo ndani na nje ya nchi.
 
Tutaona na kusikia mengi kwa vigogo tukijaliwa uzima mwaka huu na ujao kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Mheshimiwa naona aliwekeza zaidi kwenye ilimu akhera
 
Rambirambi zangu ziwafikie Wanafamilia, Wabunge, na Watanzania wote kwa ujumla.

Amani iwafikie

Rest in Peace A.Y.A
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Allah amjaalie qauli thaabit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…