Youda Fema
Member
- Feb 2, 2024
- 70
- 63
Buriani Hon. Abdulwakil !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Mungu hakuna chama huko.Ni mbunge wa chama gani, kama ni wa ACT nitahudhunika, kama sio sisemi chochote.
Haina shida atawekwa Abdulwakil mwingine, familia hazichomoki CCM.Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu.
Dkt. Tulia amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Aprili 15, 2024.
View attachment 2958138
Ahmed Yahya Abdul-wakil enzi za uhai wake
Amefariki akiwa amefunga. Kama ni hivyo ni is haraka njema kwake. Allah amjaalie aingie ktk pepo ya Daraja la juu kabisa. Awapate mahurul- lain( Wanawake wazuri tuliowekewa waumini)Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu.
Dkt. Tulia amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Aprili 15, 2024.
View attachment 2958138
Ahmed Yahya Abdul-wakil enzi za uhai wake
Kwa Mungu ni wapi Boss?Kwa Mungu hakuna chama huko.
Popote huko alipo, muhimu ni kwamba Mungu hana chama.Kwa Mungu ni wapi Boss?
Huyo marehemu angejua hilo asingeshiriki kwenye chaguzi wa mauaji.Popote huko alipo, muhimu ni kwamba Mungu hana chama.
Hayo ya kwake nawe umeyatizama yako? Maana wewe kutoshiriki huo uchaguzi wa mauwaji haukufanyi kuwa wewe si mkosaji kwa Mungu na ndio maana nikasema Mungu hana chama. Yaweza kuwa na wewe una maovu kibao kwenye jamii ila hapo unajifanya mtakatifu sana na kuona wenzio ndio wenye maovu kisa ni wana ccm wameshiriki uchaguzi sijui wa mauwaji.Huyo marehemu angejua hilo asingeshiriki kwenye chaguzi wa mauaji.
Nasema hivi awahi jehanamu. Ukiona vipi wahi kamtetee. Subiri siku na Mimi nikifa ukasikilize hizo dhambi zangu huko kwa Mungu.Hayo ya kwake nawe umeyatizama yako? Maana wewe kutoshiriki huo uchaguzi wa mauwaji haukufanyi kuwa wewe si mkosaji kwa Mungu na ndio maana nikasema Mungu hana chama. Yaweza kuwa na wewe una maovu kibao kwenye jamii ila hapo unajifanya mtakatifu sana na kuona wenzio ndio wenye maovu kisa ni wana ccm wameshiriki uchaguzi sijui wa mauwaji.
Nini maana ya kipande,Vipande vimeanza mapema sana
Mimi nakuhusia ukiwa bado upo hai ili ujitizame kama una dhambi upunguze kama si kuacha kabisa wala sisubiri hadi ufe ndio nianze kukusema, muhimu ni kwamba kutokuwa ccm au kutoshiriki uchaguzi wa mauwaji hakukufanyi kuwa wewe ni mtakatifu maana haya mambo ya siasa kuna wakati tunajikuta tunaona vile kama Mungu nae ni mwanasiasa.Nasema hivi awahi jehanamu. Ukiona vipi wahi kamtetee. Subiri siku na Mimi nikifa ukasikilize hizo dhambi zangu huko kwa Mungu.
Maroketi ya kiafrika yanayoendeshwa na magurunetiNini maana ya kipande,
Au ndo vile vi mbili kimo?😀
Hakuna mccm atakae ingia peponi labda pepo ya LumumbaAmefariki akiwa amefunga. Kama ni hivyo ni is haraka njema kwake. Allah amjaalie aingie ktk pepo ya Daraja la juu kabisa. Awapate mahurul- lain( Wanawake wazuri tuliowekewa waumini)
Na familia yake aipe subra
Kwani ccm hakuna waislam? Kama wapo hutakiwi kusema hivyoHakuna mccm atakae ingia peponi labda pepo ya Lumumba