TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

Ametuachia sheria kamdamizi tupu huku Tanzania duniani.
Sitaki unafki najua pia Ntakufa.
 
Haina shida atawekwa Abdulwakil mwingine, familia hazichomoki CCM.
Kuahirisha Bunge mpaka tarehe 15 ni kuonesha Bunge halina kazi za kufanya, siku zote hizi wabunge watakuwa wanalala matanga Bungeni? Tulia rejea uamuzi wako.
 
Amefariki akiwa amefunga. Kama ni hivyo ni is haraka njema kwake. Allah amjaalie aingie ktk pepo ya Daraja la juu kabisa. Awapate mahurul- lain( Wanawake wazuri tuliowekewa waumini)
Na familia yake aipe subra
 
Huyo marehemu angejua hilo asingeshiriki kwenye chaguzi wa mauaji.
Hayo ya kwake nawe umeyatizama yako? Maana wewe kutoshiriki huo uchaguzi wa mauwaji haukufanyi kuwa wewe si mkosaji kwa Mungu na ndio maana nikasema Mungu hana chama. Yaweza kuwa na wewe una maovu kibao kwenye jamii ila hapo unajifanya mtakatifu sana na kuona wenzio ndio wenye maovu kisa ni wana ccm wameshiriki uchaguzi sijui wa mauwaji.
 
Nasema hivi awahi jehanamu. Ukiona vipi wahi kamtetee. Subiri siku na Mimi nikifa ukasikilize hizo dhambi zangu huko kwa Mungu.
 
Nasema hivi awahi jehanamu. Ukiona vipi wahi kamtetee. Subiri siku na Mimi nikifa ukasikilize hizo dhambi zangu huko kwa Mungu.
Mimi nakuhusia ukiwa bado upo hai ili ujitizame kama una dhambi upunguze kama si kuacha kabisa wala sisubiri hadi ufe ndio nianze kukusema, muhimu ni kwamba kutokuwa ccm au kutoshiriki uchaguzi wa mauwaji hakukufanyi kuwa wewe ni mtakatifu maana haya mambo ya siasa kuna wakati tunajikuta tunaona vile kama Mungu nae ni mwanasiasa.
 
Amefariki akiwa amefunga. Kama ni hivyo ni is haraka njema kwake. Allah amjaalie aingie ktk pepo ya Daraja la juu kabisa. Awapate mahurul- lain( Wanawake wazuri tuliowekewa waumini)
Na familia yake aipe subra
Hakuna mccm atakae ingia peponi labda pepo ya Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…