NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Huyu NALIA NGWENA apunguze shobo maana mechi yao walishatangaza Bure bado tena anahangaika humu JF kufanya hamasa inamaana Mashabiki wao Uongozi hauwaamini kama hata bure wanaweza wasije?! 😂😂😂Hee wee jamaa huna nyuzi zinazohusu timu yako??? Kwahyo nyie mnavyolishwa matango pori na hali kamweee inakuwaje...
Mnajaza seva za JF uzi wa 50 huu
Jifunze kuwa na kiasi kwa Kila jambo unalofanya, yaani unaonekana kama Mtu usiyejielewa Mkuu 😂😂😂"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi?! Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu : naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada a Kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
Semaji letu tukifungwa anakuwa mdogo sana"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
Mbona unateseka sana na Simba yetu,hangaika na utopolo yenu"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
🤣 🤣 🤣 🤣Makolo ni mapopoma yote kwahy yanatongozeka Kwa urahisi sana
Huko utopolo hadi msemaji alizimia"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
TUKUTANE KWA MKAPAHuko utopolo hadi msemaji alizimia
Ukutane na nani?
Pole sanaHee wee jamaa huna nyuzi zinazohusu timu yako??? Kwahyo nyie mnavyolishwa matango pori na hali kamweee inakuwaje...
Mnajaza seva za JF uzi wa 50 huu