NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.