NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Wazee wa RoboroboHalafu haiwezi kuwa habari kubwa kwakuwa wazee wa kufa kiume wanajulikana..
POLE SANA [emoji16]Huyu NALIA NGWENA apunguze shobo maana mechi yao walishatangaza Bure bado tena anahangaika humu JF kufanya hamasa inamaana Mashabiki wao Uongozi hauwaamini kama hata bure wanaweza wasije?! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]Semaji letu tukifungwa anakuwa mdogo sana
Pole sana mkuu [emoji16]Jifunze kuwa na kiasi kwa Kila jambo unalofanya, yaani unaonekana kama Mtu usiyejielewa Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho kwenye mechi ya Yanga watajaaSimba wao wanajua washatoka wanasubiri Yanga afungwe ndio washerehekee...
Pole sana Mkuu najua umekutwa na kitu kizito.Uto hamtaamini kitachotokea....Ahly atakufa za kutosha tu.
[emoji16]Mbona unateseka sana na Simba yetu,hangaika na utopolo yenu
[emoji16]Unazani simba ni kama nyie ,,msemaji wenu kuanguka na kuzimia hovyo[emoji1787]
Moto wanaoKumbe Elyshanawi aliwahi kuja Tanzania kimya kimya naona hapa Airport yeye ndio anawapokea wenzake
Wamemaliza ngwe ya kwanzaMoto wanao
Mukubwa uliisema baelezee baambie hawaelewiii hawa"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!
Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!
Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
AahaaaaaWamepigwa moya
Hii ngoma bado mbichi...tulia.Pole sana Mkuu najua umekutwa na kitu kizito.
WANAJUA MPIRA NI MANENOMukubwa uliisema baelezee baambie hawaelewiii hawa
Pole ya nini na wewe? kwani shida yenu nini kama kujaa tumejaa umesikia kuna mtu kaanguka kwa kuzimia kisa tumefungwa? Hayo ni matokeo kama matokeo mengine tuu..Ahmed Ally aheshimiwe...kazi yake anaifanya vzr na Simba tunaipenda timu yetuPole sana
Nahuyu je?Pole ya nini na wewe? kwani shida yenu nini kama kujaa tumejaa umesikia kuna mtu kaanguka kwa kuzimia kisa tumefungwa? Hayo ni matokeo kama matokeo mengine tuu..Ahmed Ally aheshimiwe...kazi yake anaifanya vzr na Simba tunaipenda timu yetu
Nahuyu je?Pole ya nini na wewe? kwani shida yenu nini kama kujaa tumejaa umesikia kuna mtu kaanguka kwa kuzimia kisa tumefungwa? Hayo ni matokeo kama matokeo mengine tuu..Ahmed Ally aheshimiwe...kazi yake anaifanya vzr na Simba tunaipenda timu yetu
Hyo jezi ya mwaka gani? Kwanza inaonekana alikua hajala huyoNahuyu je?View attachment 2948869