Ahmedy Ally hao mashabiki unaowajaza upepo usisahau machela na Ambulance za kutosha maana ijumaa wataanguka wengi kwa presha

"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally

Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki mpaka wakasusa kuingia uwanjani?!

Mbona mnawachukulia kuwa mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu Kama alivyosema Rage?!

Maoni Yangu: Naona kundi la mashabiki wakidondoka uwanjani kwa presha baada ya kupigwa na kitu kizito kwa kufuata kauli za Ahmedy Ally.
Mukubwa uliisema baelezee baambie hawaelewiii hawa
 
Pole sana
Pole ya nini na wewe? kwani shida yenu nini kama kujaa tumejaa umesikia kuna mtu kaanguka kwa kuzimia kisa tumefungwa? Hayo ni matokeo kama matokeo mengine tuu..Ahmed Ally aheshimiwe...kazi yake anaifanya vzr na Simba tunaipenda timu yetu
 
Nahuyu je?
 
FB_IMG_1711755126486.jpg
 
Back
Top Bottom