Ahmedy Ally: Hatutashuka kwenye nafasi ya kwanza ligi kuu ya NBC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hovyoooooooooooooooooo....................................!!!!!

Ahmedy Ally bado mechi 29 tuwe mabingwa.
"Tumekaa kwenye kilele sasa bado mechi ishirini na tisa hatutashuka hapo inshallah, Simba ya safari hii ni timu ya hatari sana na hapa ukiangalia ndio vijana wanajitafuta."
🎙️
Ahmed Ally Msemaji wa Simba Sports Club.

Na kama wana Simba SC hamjui nani ndiyo anatuponza Kimatokeo kwa Sisi Kukamiwa NBC Premier Leauge ni huyu.
 
Mkuu Genta wa kulaumiwa si huyo comedian bali walaumiwe viongozi waliomweka huyo comedian kwenye hiyo nafasi nyeti. Hivi wasemaji dizaini ya akina Kamwaga na Ndimbo siku hizi hawapo maana naona imekuwa fasheni sasa kila timu inaweka comedian kwenye hiyo nafasi. Na wote wanajitahidi kuwa kama Manara wakati kuna Manara mmoja tu nchi hii.
 
Jamaa anawawezea sana Simba.
 
Na kuna wa Timu nyingine siyo ( Yanga SC ) Yeye anachojua ni Kujisifu, kupenda Kujionyesha wakati ni Mshamba, Mnafiki, Muongo na Choka Mbaya mno.
 
Simba kama CCM tu wanavyomshukuru mama kwa kuondoa umaskini Tanzania :Analyze:
 
Ni kichekesho kwa mtoto aliyetangulia kwa baiskeli ya miti kushangilia ushindi dhidi ya mwenzake mwenye baiskeli ya kweli. Kimbembe kitakuwa pale atakapofika kwenye muinuko.

Wakati atakaposhuka kukokota, mwenzake atampita kama amesimama.
 
Yaani huyo jamaa siku nilipomuona mtandaoni anasema Freddy funga funga yupo yupo sana Simba na mwaka huu atakuwa mfungaji bora wa ligi basi nikajisemea tu moyoni kuwa wapenzi na mashabiki wa Simba wajiandae tena kugombea nafasi ya tatu kama sio ya nne kabisa kwenye ligi msimu huu.

Kitu ambacho viongozi hawajui ni kuwa msemaji wa timu ndio taswira halisi ya viongozi waliopo madarakani. Kwa hiyo hata kama viongozi wamejikuta wemeweka msemaji kimeo basi angalau wawe wanamfunga gavana kwenye baadhi ya matamshi yake. Lakini hivi walivyomuacha huru anaropoka kila kinachokuja mdomoni mwake hasa Simba inaposhinda na akiona visemeo vingi mbele yake anayeaibika sio yeye peke yake bali uongozi na taasisi nzima ya Simba Spots Club.
 
Point.
 
Back
Top Bottom