Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Ulipomtaja Ndimbo na Kamwaga nikamkumbuka Dismas Ten alikuwa mtu na nusu pale Yanga.Mkuu Genta wa kulaumiwa si huyo comedian bali walaumiwe viongozi waliomweka huyo comedian kwenye hiyo nafasi nyeti. Hivi wasemaji dizaini ya akina Kamwaga na Ndimbo siku hizi hawapo maana naona imekuwa fasheni sasa kila timu inaweka comedian kwenye hiyo nafasi. Na wote wanajitahidi kuwa kama Manara wakati kuna Manara mmoja tu nchi hii.