Akiomba radhi itakua unafiki,yeye kafanya kazi yake ,kama shabiki au mpenzi na mwanachama unajiongeza mwenyewe , kinachoongeleka na uwalisia sawa , simba hawana sababu ya kuomba radhi zaid wajifunze usiliasi ktk kaz yao sana sana ya usajili na uchaguzi wa kocha , wakiendelea na siasa zao bas wataishia kuimba ukubwa wa mdomoni