Ahmedy Ally jitokeze mbele ya camera uwaombe radhi mashiki kwa kuwaaminisha kuwa wakubwa wa Simba sc ni al Al ahly na Mamelod sondowns.

Ahmedy Ally jitokeze mbele ya camera uwaombe radhi mashiki kwa kuwaaminisha kuwa wakubwa wa Simba sc ni al Al ahly na Mamelod sondowns.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Njoo ufute kauli yako uliyotamba wiki nzima kwenye hamasa na kutoa kejeli za kusema kuwa Yanga Sc siyo level ya Simba Sc.

Kwa kipigo Cha goli 5 kwa 1 nafikili kitakua kimekufunza Nini maana ya mpira na siyo kuropoka na kutoa maneno ya kejeli.

Ahsante Kennedy Musonda, Aziz Key, Mzize Yao Yao, Pakome na timu nzima kwa ujumla hakika mmejua kufunga midomo ya MAKOLOKWINYO.
 
Leo Ahmed Ally namuona kajificha huku Mitaani kwetu Buza kwa Mpalanger! Ni kitu kizito kimeshushwa Leo!
Kuongea kwake sio Leo labda mtondo goo!
 
Ahmed ally Jamaa anawajaza propaganda makolo...wanaanza kujiona real Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe ni Makolo tu.
 
Akiomba radhi itakua unafiki,yeye kafanya kazi yake ,kama shabiki au mpenzi na mwanachama unajiongeza mwenyewe , kinachoongeleka na uwalisia sawa , simba hawana sababu ya kuomba radhi zaid wajifunze usiliasi ktk kaz yao sana sana ya usajili na uchaguzi wa kocha , wakiendelea na siasa zao bas wataishia kuimba ukubwa wa mdomoni
 
Back
Top Bottom