Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hii ni kumbukumbu ambayo haitopotea katika tasnia yetu ya michezo baada ya msemaji wa Simba (Ahmedy Ally ) kuibua hoja mbele ya wadau na wapenda soka/ wapenda maendeleo wanaopigana usiku na mchana ili ligi yetu ipae kimataifa.

Msemaji wa simba alitamka maneno kuwa "ligi yetu ni dhaifu" baada yakuona yanga anakaribia kuchukua ndoo (kombe) muda huo Simba sc ilikua imezidiwa pointi na yanga ndipo msemaji aliibua sintofahamu hiyo ya kusema ligi yetu ni dhaifu.

Hii ni Mara ya pili yanga inachukua kombe mbele ya simba sc lakini semaji la Simba upo kimya bila kutamka neno juu ya ushindi huu wa wanayanga.

Au ligi imekua strong tofauti na msimu uliopita??

Haya Sasa yanga imeizidi Simba sc pointi, njoo utueleze Tena kuwa "ligi yetu ni dhaifu" Kama ulivyotamka msimu uliopita baada yakuona yanga inachukua kombe mbele ya timu dhaifu.
 
Bado una tuhasira twako.Mtani,daima mbele nyuma kuna mwiko!😜

DF866B20-14A8-4440-849D-02B6E72978F2.jpeg
 
Back
Top Bottom