Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

Attachments

  • 855F72D9-8482-4410-91D1-CFFC1C74EF0B.jpeg
    855F72D9-8482-4410-91D1-CFFC1C74EF0B.jpeg
    32.8 KB · Views: 2
Ukweli ligi ni dhaifu kuna mambo mengi tunajikongoja sana kuna mambo mengi hatufuati utaratibu na figisu nyingi sana sisemi hivi labda nashabikia simba hapana mm nasema kulingana na yanayoendelea na kujitokeza kiufupi tuna safari ndefu kama nchi kuwekeza kwenye soka na mtu akisema ligi dhaifu sio kisa yanga kashinda au simba kashinda bali kuna mambo mengi nyuma yake na tusidanganyike na namba za fifa bado tuna kazi kubwa
 
Ungekuwa muungwana ungetaja na mechi ambazo Simba tumebebwa! Ukiandika kishabiki hivi husaidii soka letu!Makosa ya marefa yapo katika mechi nyingi sana labda wewe umeamua kuiangalia yanga pekee!
Kweli mkuu upo sahihi
 
Na mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ona uyu mwingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we uko sawa kichwani kweli?
 
Back
Top Bottom