Ahmedy Ally: Jumanne kaeni kwenye tv zenu muone tunavyomnyonyoa Al Ahly nyumbani kwake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ahmedy Ally anawadanganya Sana wanasimba na kuwaona kuwa ni wajinga na wasiojua chochote kuhusu mpira.

Kama tu kumfunga Power dynamo ulishindwa alipokuja nyumbani kwako je utaweza kumfunga Al ahly nyumbani kwake??

Haya game itakapoisha uje kuwaomba msamaha mashabiki wako (mbumbumbu) unaowadanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…