Ahmedy Ally: Jumanne kaeni kwenye tv zenu muone tunavyomnyonyoa Al Ahly nyumbani kwake

Ahmedy Ally: Jumanne kaeni kwenye tv zenu muone tunavyomnyonyoa Al Ahly nyumbani kwake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ahmedy Ally anawadanganya Sana wanasimba na kuwaona kuwa ni wajinga na wasiojua chochote kuhusu mpira.

Kama tu kumfunga Power dynamo ulishindwa alipokuja nyumbani kwako je utaweza kumfunga Al ahly nyumbani kwake??

Haya game itakapoisha uje kuwaomba msamaha mashabiki wako (mbumbumbu) unaowadanganya.
 
Na wewe umeamini? Mbona sisi wanasimba tunajua kabsa hatuna chetu chamsingi tushapita na Bilion zetu hatuna shida
F6yHFcCWYAAX2sV.jpeg
 
Back
Top Bottom