Ahmedy Ally: Simba sc wamepita makocha watatu lakini hao wote wameshindwa kuona Kama Okwa ana uwezo na ndiyo maana wamemuweka benchi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hayo ni maneno ya Ahmedy Ally msemaji wa Simba sc.

Baada ya kauli hiyo ya kusema kuwa Okwa hajaonesha uwezo na ndiyo maana makocha wamemuweka benchi.

NALIA NGWENA kwa mawazo yangu nauliza Mkude alipokuwa benchi na hakuwa na kiwango Bora mbele ya Sadio kanuti??

Simba Kuna janja janja nyingi sana.
 
Ungekuwa kwetu TANGA tungesema una GUBU.
 
Sasa mkuu kiwango cha putin na mkude wa sasa vinafanana kweli??au umeamua tu kutafuta wa kubishana naye??
 
Unless uwe umeuliza swali ili ubishane ila unafiki pembeni jonas mkude recently amekuwa akicheza "kifaza" sana yaani amerelax wakati tunategemea yeye akate umeme.

Kiwango kilishuka thats why akawekwa benchi na kanoute.
Wachezaji wa Tz wanalegea mapema sana, wakishajua wana mkataba na mshahara wa kudumu wanalegea mno
 
Kila Kocha anataka timu yake ishinde hivyo haiingii akilini kocha amuache mchezaji ambaye anaweza kuisaidia timu ishinde na amuweke mchezaji asiyetoa mchango wa maana kwa timu,kocha wa namna hayupo popote. Na suala la Kocha kupangiwa kikosi huo ni uzushi pia,yaani uongozi ulipe mamilioni kwa Kocha halafu waje wampangie kikosi nayo haiingii akilini. Okwa ameshindwa tu kucheza arudi kwao akacheze kamari.
 
Wachezaji wa Tz wanalegea mapema sana, wakishajua wana mkataba na mshahara wa kudumu wanalegea mno
True, yaani kwa aina ya uchezaji wa mkude hasa kuzuia mashambulizi na zile pass zake zilizonyooka ni mtu ambae angebaki kwa muda mrefu sana.

Ila kuridhika kumemfanya wamteme mapema na ukichanganya na mafanikio ya jirani basi hawako tayari kukaa na mtu asiye na mchango kwenye team.
 
Ila bado Simba hawajafanya mengi kupunguza wahuni kwenye kikosi, bado wafanyakazi hewa ni wengi mno
 
Ahmed ally amekimbilia kujibu haraka ila angechukulia kama changamoto huu mchezo haujaanza Leo ni WA muda mrefu labda kwa sababu ameingia kwenye mpira juzijuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…