NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
"Nyuma Mwiko wamewapigia simu Azam Media na kuwaamuru wafute Interview ya Mayele na kuziondoa Clip zote zilipostiwa katika mitandao ya kijamii kitu ambacho kimeshafanyika"
Maoni Yangu: wanayanga sahivi wamekomaa Kiakili kuanzia viongozi mpaka mashabiki, lilitengenezwa sakata la Feisal Salumu kuanza kurusha maneno kila zinapokua mechi muhimu lakini Juhudi za watengenezaji script ziligonga mwamba.
Ushauri wa Bure kwa Ahmedy Ally ajikite kwenye Kuwashuri viongozi wa Simba sc kusajili wachezaji wazuri ili mashabiki waburudike na siyo kujikita kwenye Mambo ya Yanga Sc.