NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mayele kaondoka vizuri yeye mwenyewe kaanza zengweIla Yanga hakunaga mchezaji anaondokaga salama kama akipata dau la pesa nzuri.
Msuva vipiIla Yanga hakunaga mchezaji anaondokaga salama kama akipata dau la pesa nzuri.
Hahahahaha, wakishirikiana na azamSimba wametumia njia hio Ili kuzima mjadala wa wao kutolewa kwenye mashindano yote.
KIjana kule Uto wenye akili 2 tu wewe haupo.Mzee Rage kawaongezea jina jingine hawa Mbumbumbu
Uyo Ahmed Aly si ndio Rage alisema azimtoshi kichwani?"Nyuma Mwiko wamewapigia simu Azam Media na kuwaamuru wafute Interview ya Mayele na kuziondoa Clip zote zilipostiwa katika mitandao ya kijamii kitu ambacho kimeshafanyika"
Maoni Yangu: wanayanga sahivi wamekomaa Kiakili kuanzia viongozi mpaka mashabiki, lilitengenezwa sakata la Feisal Salumu kuanza kurusha maneno kila zinapokua mechi muhimu lakini Juhudi za watengenezaji script ziligonga mwamba.
Ushauri wa Bure kwa Ahmedy Ally ajikite kwenye Kuwashuri viongozi wa Simba sc kusajili wachezaji wazuri ili mashabiki waburudike na siyo kujikita kwenye Mambo ya Yanga Sc.
Sio kweli, Mayele aliagwa vzuri sana na Uongozi wa Yanga na mashabikiIla Yanga hakunaga mchezaji anaondokaga salama kama akipata dau la pesa nzuri.
IHEFU LAZIMA AWAKANYAGEkama bado anashughulika na Yanga tu basi Ihefu anashinda kesho