Ahmedy Ally: Yanga Sc wamepiga simu Azam media kuwa wafute interview ya Fiston kalala Mayele

Tunasema Kila siku hiki cheo hakizisaidii hizi timu mnapinga. Sasa huyu ni Msemaji wa Simba au wa Mayele?
 
Ajabu na wewe kila siku umo humu
 
Ifike mahali simba iache kushadadia petty little things, huo ni utoto. Simba ina matatizo internaly tena major issues ambazo zina athiri hadi team, kwann wasi focus huko kwanza and kuwchia mashabiki ndio wahangaike na maneno? Simba what happened to you
 
Ahmed Ali amekosa relevancy kabisa. Badala ya kuisemea Simba na kupromote brand ya Simba amekuwa anatumia sehemu kubwa ya muda wake kuisema Yanga na indirectly kupromote brand ya Yanga. Hajui kuwa duniani hapa hamna bad publicity, kwa hiyo kila anapoisema Yanga anakuwa anaipromote Yanga. Baada ya Yanga kupangwa na Mamelodi alitumia muda mwingi kusema kuwa huo ndiyo mwisho wa Yanga, lakini ikasababisha mchezo wa Yanga kuwa maarufu kuliko ule wa Simba
 
KWELI MKUU [emoji2935]
 
Kweli mkuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…